Mkuu ninge kushauri usikurupuke.
- Tatizo linalo tusumbua c c ni kwamba tuna fanya kitu bila reserach, au tunafanya mambo kwa ku ashumu tu.
Hizo nyanya wewe unajuaje ukilima Azamu kiwanda watanunua?
Vipi umeisha ongea nao?
Umeaingia contact na hivyo viwanda ili uwauzie nyanya?
Vile viwnda vinafanya kazi mwaka mzima utaweza kuwa supply kiwango wanacho taka?
- mkuu kuna kitu kinaitwa contact farming, kabla ya kwenda shambani na kuanza kulima lazima ufahamu yafutayo
1. Nani ni tamuuzia mazo yangu baada ya kulima?
2. Nitamuuzia kwa bei gani?
Tatizo c c tunaingia kulima then tukisha vuna ndo tunaanza kutafuta wateja.
Tatizo kubwa linalofanya wakulima wasifaidike na kilimo ni hili la contact farming, hawana contact maalumu na watu wano nunua mazao