Cashewnut

kirk git

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
591
Reaction score
677
Vietnam remains in world’s top of cashew export
Vietnam’s T&T Group has signed a contract to purchase a world record number of 176,000 tons of raw cashew nuts with the Cereals and Other Produce Board of Tanzania (CPB).

The first shipment of cashew nuts from Tanzania is scheduled to deliver to Vietnam in September. The purchasing contract is part of a long-term cashew production project of T&T Group in Tanzania, following two other traditional markets of the Vietnamese company in Ivory Coasts and Guinea Bissau in West Africa.

 
Hili la korosho mtazungushana nalo hadi mwisho wa dahari..
Tatizo hamkai mtafakari kwanza kabla ya kuchukua hatua kimikakati, mnaangukia pua na kurudi kule kule.
 
Hilo la korosho Tanzania ni kama kichwa cha mwendawazimu
 
Wakati sisi tunauza export 200,000+ metric tonnes of cashews business at a go

Kenya inazidi kuporomoka kwenye exports na kudumbukia kwenye dump la imports.
 
While Tanzania we are heading to the USD billion exports business with SADC

SADC ndio tunaelewana nao with an echo.
Eti kuna watu wanataka tupoteze nguvu zetu katika EAC. Wakati sisi tunamwaga damu kuzikomboa nchi za kusini mwa Africa, wao walikua wakipapashwa makalio na wazungu, eti sasa hivi wanalazimisha urafiki na sisi, watasubiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…