Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Yule rapa mtata kunako game anyeongoza kujaza viwanja vikubwa ndan ya africa na nje ya africa casper nyovest ndo kawa rapa wa kwanza africa kununua helicopiter lake binafis
Rapa huyo kanunua choper lake ndan ya huu mwaka mpya
Choper lake ni kubwa sana na la kiwango cha hatar sana kama lile la king msukuma alilomuazimisha lowasa
LONDON BOY