Casper Nyovest ananunua choper kama king msukuma

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Yule rapa mtata kunako game anyeongoza kujaza viwanja vikubwa ndan ya africa na nje ya africa casper nyovest ndo kawa rapa wa kwanza africa kununua helicopiter lake binafis

Rapa huyo kanunua choper lake ndan ya huu mwaka mpya

Choper lake ni kubwa sana na la kiwango cha hatar sana kama lile la king msukuma alilomuazimisha lowasa


LONDON BOY
 
Mrudi shule wanetu mshikeni sana elimu msimuache aende zake
 
Sijui km uko Shule kutakua kunasomeka vizuri kweli,kutwa kuimis jf.

Ishike elimu dogo,jf ipo tu
 
Kwani hii ni Chopa?Msukuma pia aliyonayo sio kama hii
 
Unaijua chopper wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…