Cassper Nyovest: Rapa pekee kutoka Afrika Kusini anayemiliki ndege Afrika

Huyu jamaa nae pamoja na jina kubwa alilonalo lakini ana tabia za kswahili swahili tu.

Nilicomment kwenye page kuwa hawezi kufikia level ya AKA, jamaa lilivyokuwa puuzi eti lika ni block.

Ni lifala kweli kama bashite.
wewe ni mpuuzi wa kwanza huyo aka shoo zake hata mashabiki elf tano hawaiingii
 
Huyu jamaa nae pamoja na jina kubwa alilonalo lakini ana tabia za kswahili swahili tu.

Nilicomment kwenye page kuwa hawezi kufikia level ya AKA, jamaa lilivyokuwa puuzi eti lika ni block.

Ni lifala kweli kama bashite.
Wewe ulipeleka uswahili na yeye akakufanyia uswahili.
 
Mkuu huyu na mambo yoote lakini hawezi mfikia AKA
 
Dini inahusikaje ivi kwenye mafanikio ya msanii, maana ukiskia msanii anahela nying tu bas ujue ni Mkristo. Shida iko wap kwa waislam, mbona tupo nyuma??

Wewe sio muislam, uislam gani unaokuambia uwe msanii ili upate hela nyingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…