Caster Semenya hujaonewa na shirikisho la riadha Duniani, wewe ni kituko

Caster Semenya hujaonewa na shirikisho la riadha Duniani, wewe ni kituko

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Hivi majuzi shirikisho la riadha limebadilisha sheria zake zikiwalenga wanawake ambao wamekuwa na maumbule na nguvu kama za wanaume kutoshindanishwa na wanawake wengine kutokana na maumbile yao

Shirikisho la riadha linaazimia kuwapambanisha wanawake hao na wanaume katika mashindano ya riadha
28fa2638fddffa04375721f3e2f727ab.jpeg

Tukija kwa mwanadada Caster semenya ambaye baada ya kusikia habari hiyo aliipokea kwa jazba huku akisema kuwa anajua watu wanamchukia na si kingine kumbe ni kweli shirikisho la riadha halikukosea maana haiwezekani mtu ana maumbile na nguvu kama mwanaume alafu ashindanishwe na wanawake kamili

Tena caster semenya kwa msisitizo ameowa kabisa yaani ni mme wa mtu alafu anataka ahurumiwe kupiga hela kwa mgongo wa wanawake

Huyu dada ni kituko

38636b795872228db4616e7013e316d1.jpeg
 
Hujui historia yake vzuri. Kamfuatilie kuhusu hormones zake na vipimo alivyofanyiwa kabla ya kuandika tu. Hata Pastore anaonekana kama mwanamke ila PSG kazi anayoifanya inaonekana.

Mimi ni mwanume mkuu lakini huyu semenya hastaili kuitwa mwanamke kwa mambo anayoyafanya na muonekano wake sasa ataisoma namba nymbaff
 
vipi wanaume wenye homone za kike wapabanishwe na wanawake?
au ndo sheria imekaa kimya?
 
Sasa na yule mwanaume mwenye hormones nyingi za kike atashindanishwa na wanawake?
 
Alipo Semenya Wanaume Hakuna?
Walitakiwa Wamuoe Semenya Kabla Hajao Maana Hapo Kwasasa Ni Faida Tu Unawachukua Wote Wawili
 
Kwani kinachofanya mtu aitwe mwanamke au mwanaume ni nini?

Tukipata jibu la hili swali tunaweza kujua kama ameonewa au hajaonewa.
 
Hivi majuzi shirikisho la riadha limebadilisha sheria zake zikiwalenga wanawake ambao wamekuwa na maumbule na nguvu kama za wanaume kutoshindanishwa na wanawake wengine kutokana na maumbile yao

Shirikisho la riadha linaazimia kuwapambanisha wanawake hao na wanaume katika mashindano ya riadha
View attachment 759269
Tukija kwa mwanadada Caster semenya ambaye baada ya kusikia habari hiyo aliipokea kwa jazba huku akisema kuwa anajua watu wanamchukia na si kingine kumbe ni kweli shirikisho la riadha halikukosea maana haiwezekani mtu ana maumbile na nguvu kama mwanaume alafu ashindanishwe na wanawake kamili

Tena caster semenya kwa msisitizo ameowa kabisa yaani ni mme wa mtu alafu anataka ahurumiwe kupiga hela kwa mgongo wa wanawake

Huyu dada ni kituko

View attachment 759266
Kameoa Mkenya nini mbona ana wristband yenye rangi za bendera ya Kenya?
 
Back
Top Bottom