Casting tv programme to a Computer

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
55
Reaction score
17
Habari wanajamvi, nina TV pamoja na desktop computer, nikiunganisha vifaa hivi kwa kutumia HDMI Cable, nina uwezo wa kutumia TV kama monitor, ila sasa mtihani ni kuwa nahitaji pia vile vile kuona kile kinachoendelea kwenye TV ionenekane pia katika computer. Je ni njia gani naweza kuitumia kufikia hatua hii???, Msaada tafadhalini
 
Source ya hicho kitu ni tv yenyewe ama kuna receiver kama azam tv? Tv ni smart?
 
Ni Digital TV ina support HDMI, USB, AV, DTB
 
Hizo nyaya

Z

Nyaya hizo za hizo langi zipo mara mbili kwa nyuma pamoja na upande wa TV, sasa niziunganishe vipi mkuu
Angalia kunakuwa na maandishi kwa pembeni kama tv in na tv out. Ama component out etc. Si tv zote zinakua na hii option
 
Kwa upande wa nyuma wa nyaya hzo tatu zimeandikwa tu neno out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…