KUKU_UFUGAJI JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 857 Reaction score 1,727 Feb 9, 2024 #1 Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu. Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako. Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.
Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu. Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka kwako. Kwa anaye jua aliko naomba amfikishie ujumbe wangu.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Feb 10, 2024 #2 Castle
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 10, 2024 #3 Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw
Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Feb 10, 2024 #4 Smart911 said: Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw Click to expand... Dah bro kamaanisha hiyo ni avatar yake😀🤣
Smart911 said: Kama picha yake ndiyo hiyo... Mbona hizo chupa zipi nyingi sana... Utaweza kweli kumtambua... Cc: Mahondaw Click to expand... Dah bro kamaanisha hiyo ni avatar yake😀🤣