Category za ku-apply Diploma

ngayonga953

Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
15
Reaction score
1
Habari Jamiiforums!

Nahitaji kuaply diploma ya ualim, lakini pale kwenye categories kuna NTN6 NA NTN7 mm ni fresh from school, nifanyeje? Au kuna categories zingine sijaziona.

Naomba msaada
 
kabla huja aply soma kwanza guide book ya education ya ordinary au higher diploma category zimewekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…