Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salamu kwenu.
Binafsi yangu bado sijanunua gari, ila huko mbeleni nitanunua. Biashara yangu ikiwa imesimana.
Nimeona sasahv vijana wengi sana mafanikio yao ni magari ya kifahari na ya kustunt kwa convoy kubwa pale wanapoenda kwenye interview pamoja na showoff nyingine. (haswa wasanii na watu maarufu)
Najua ushauri wa nyumba umeshatolewa sana na sidhani tena kama nahitaji kuutoa tena.
Leo katika pitapita zangu nikakutana na hii machine Cataerpila 320D excaveter ambayo price yake hapo ni kama 26000 USD na usafiri ni kama 4000USD mpaka inafika DSM.
Kijana mwenzangu unayesoma uzi huu Ingia google fanya research wewe mwenyewe alafu uone ukiwa na chuma kama tatu hapa mini sidhani kama utalala njaa.
Nunua hizi, peleka kule kwenye migodi kule then utanishukuru baadae.
Sikatai kununua gari ya ndoto yako na wala mimi sio motivesheni spika ila nadhani ukifanya research yako mwenyewe kuna kitu utapata.
Mwisho: Ukipata wazo la kufungua jina biashara, kampuni na taasisi basi nicheki PM tusaidiane.