Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mbunge Viti Maalum Arusha mjini Catherine Magige, Amewahasa wananchi wa Kata ya Endamariek Kijiji Cha Endamariek wilayani Karatu kushiriki kwa Ukamilifu katika zoezi la upigaji wa kura za ndiyo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024.
Amewahasa wananchi hao kutodanganyika na vyama vingine na kuhakikisha wananchi wote wa eneo hilo wanajitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi na kutoa kura za ndio kwa Chama cha Mapinduzi CCM kuanzia ngazi za chini kwasababu kupitia kuwachagua viongozi hao ndio watakaokuwa Mabalozi wakupeleka kero zote Ngazi ya juu iliziweze kutatuliwa na kuleta maendeleo.
Ameongeza kwakusema kuwa uchaguzi huu ndio msingi wa uchaguza mkuu mwaka 2025 hivyo mabadiliko yaanze leo kutokana na chama pinzani CHADEMA kuongoza kwa miaka mingi eneo hilo bila kuwaletea mafanikio yoyote.
"Serikali ya Mama Samia ni Serikali yakusikiliza changamoto za watu na kuzitatua sasa hivi hatutaki kuchanganyiwa Betri na gunzi tunataka kuweka Betri zote ili taa iwake".
Kupata Taarifa za Mikoa MINGINE soma: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024