Catherine Magige hajui jina wala jimbo la Luhaga Mpina


Hivyo inampasa aendelee kufanya hivyo kulinda nafasi yake?
 
Sie wengine ambao si wabunge wala wanasiasa tunajua majimbo yote bara na visiwani mpaka majina ya wabunge wake wote kuanzia enzi za rais ally hassan mwinyi. Sasa yeye yuko bungeni kwanini asijue wabunge wenzake wote na majimbo yao?
 
Ni aina ya wabunge wenye ufahamu mdogo wa mambo yao bungeni, hii ni fedheha kwa kweli, huyo ni mmoja tu kajitokeza, wako wengi wasio na ufahamu na mambo yao
 
Uchawa ni shidaa !
 
Hao ndio wabunge wetu wa ChukuwaChakoMapema!
Huu UOZO imefika wakati TUUPINGE KWA FAIDA YA KIZAZI KIJACHO!
Inasikitisha Kwa kweli ๐Ÿฅบโ˜น๏ธ๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™โ€โ™‚๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ