Catherine Ruge apigwa chini BAWACHA

Catherine Ruge apigwa chini BAWACHA

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo

Team TALL Wajumbe 17
Team FAM wajumbe 16
Jumla 33

Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa kuambulia wajumbe wawili tu kati ya 33

Mpaka sasa joto la uchaguzi limepanda kuliko kawaida na msishangae mkamuona Mwamba ndani ya UHURU FM akiomba kura. Amepanga kusafiri mwendo wa ngiri kwenda kwenye vyombo vya habari kuomba kura baada ya kubaini hali ni tofauti kabisa.

Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Aambapo:

Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18

2. BAWACHA 33
  • TAL 17
  • FAM 16

3. BAVICHA 33
  • TAL 31
  • FAM 2

Jumla TAL 63 na FAM 36.
 
Hii tathmini inatoa picha kuwa vijana ndyo haswaa wenye kiu ya mabadiliko.
 
Kuna jambo naliona
Mbowe anaweza kutangazwa kushinda uchaguzi huu kwa kuiba kura. Kisha atatatangaza kumwachia madaraka Lissu iliaonekanee amefanya hivyo kwa mapenzi ya CHADEMA.
Huo mchezo ni hatari ,Mwamba akisha iba hawezi achia, ni lazima kudhibiti mianya yote ya wizi
 
Back
Top Bottom