Catherine Ruge, uliikataa COVID-19, uliandamana na Lissu kutetea Ngorongoro, Nakusihi sana Chutuma, bado kiumri una safari ya Siasa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Dada Catherine, wee ni Moja ya Wanawake makini, wachapa Kazi ,wawazi, na Wafia chama ,majasiri na makini.

Inawezekana ni kupitiwa tu na ushawishi , Binadamu tunakosea.

Ninaamini Kwa Kariba yako, wewe Sio kundi lile, wewe ni wa LISSU , Infact wewe na LISSU Kuna vitu mnaviamin.

Chonde chonde, Unahitajika Ugombee Ubunge 2025 na uwe Mbunge ama wa Jimbo au Viti maalum.

Dada Catherine, Mimi nakupenda sanaaa sanaaa sanaaa , naomba uwatumie Wazee wà chama, au mtafute LISSU, LISSU alitangaza uhuru Kwa wote na kufuta visasi.

Sikia Dada yangu , LISSU AKISEMA ANAMAANISHA.

Pia Soma: Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Kama upo humu Jamiiforums baada ya kusoma Uzi huu Dada, embu tabasamu kidogo, jitazame kwenye kioo ulivyo, Pitia CV yako , Kisha ANZA NA LISSU .

Mwaaa !!
 
Rushwa za Lisu zimeanza
Kwenye ulaghai wa uchaguzi ili ashinde naliahidi watu kibao ugombea ubunge

Ikifika wakati wa kuteua wagombea Chadema inaenda kupasuka kutakuwa na vurugu kubwa
 
Kwa sababu zipi achutame? Kama uongozi mpya unaona anafaa na ni mchapa kazi wanaweza kumtumia why hadi kuwapigia magoti ? Kwa lipi hasa?
Huu utamaduni wa kupigishana magoti as if upo kanisani haufai ni wa kidhalilishana.

Tusiige utamaduni huo tuwaachie waasisi kina Nape huko CCM.

Lissu kama unaona Ruge ni jembe basi amuite wazungumze, wakae chini waweke makubaliano wafanye kazi, hii ni kazi ya CDM si kazi ya mtu.
 
Daa huwa namuhuzunikia sana mwanafunzi mwenzangu upendo peneza aiseh yule sister namfahamu na uwezo wake

Siasa kama hizi zinapoteza sana vipaji
 
Ujumbe huu huu ,kwa uzito wake umfikie pia ex- Mayor Jacob n Malisa..hazina cha chama
 
Dada Catherine, wee ni Moja ya Wanawake makini, wachapa Kazi ,wawazi, na Wafia chama ,majasiri na makini.

Inawezekana ni kupitiwa tu na ushawishi , Binadamu tunakosea.

Ninaamini Kwa Kariba yako, wewe Sio kundi lile, wewe ni wa LISSU , Infact wewe na LISSU Kuna vitu mnaviamin.

Chonde chonde, Unahitajika Ugombee Ubunge 2025 na uwe Mbunge ama wa Jimbo au Viti maalum.

Dada Catherine, Mimi nakupenda sanaaa sanaaa sanaaa , naomba uwatumie Wazee wà chama, au mtafute LISSU, LISSU alitangaza uhuru Kwa wote na kufuta visasi.

Sikia Dada yangu , LISSU AKISEMA ANAMAANISHA.

Pia Soma: Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Kama upo humu Jamiiforums baada ya kusoma Uzi huu Dada, embu tabasamu kidogo, jitazame kwenye kioo ulivyo, Pitia CV yako , Kisha ANZA NA LISSU .

Mwaaa !!
Bila siasa hawezi kula? By the way huko machadomo si hamtaki wanawake nyie au mnajisahaulisha?

Yule Heche sura kama chura alitoa dhihaka gani Kwa Samia,akisema ni mwanamke tuu.

Kalipeni madeni

View: https://www.instagram.com/p/DFLjPUQsySI/?igsh=MmliNGxoaGttY2pm
 
Dada Catherine, wee ni Moja ya Wanawake makini, wachapa Kazi ,wawazi, na Wafia chama ,majasiri na makini.

Inawezekana ni kupitiwa tu na ushawishi , Binadamu tunakosea.

Ninaamini Kwa Kariba yako, wewe Sio kundi lile, wewe ni wa LISSU , Infact wewe na LISSU Kuna vitu mnaviamin.

Chonde chonde, Unahitajika Ugombee Ubunge 2025 na uwe Mbunge ama wa Jimbo au Viti maalum.

Dada Catherine, Mimi nakupenda sanaaa sanaaa sanaaa , naomba uwatumie Wazee wà chama, au mtafute LISSU, LISSU alitangaza uhuru Kwa wote na kufuta visasi.

Sikia Dada yangu , LISSU AKISEMA ANAMAANISHA.

Pia Soma: Catherine Ruge ameuita mfumo mpya wa uongozi wa CHADEMA kuwa ni mfumo dume "patriarchy"

Kama upo humu Jamiiforums baada ya kusoma Uzi huu Dada, embu tabasamu kidogo, jitazame kwenye kioo ulivyo, Pitia CV yako , Kisha ANZA NA LISSU .

Mwaaa !!
Lissu anataka kupigiwa magoti?

Huyu psycho anaenda kuua hiki chama.
 
Huu sio wakati wa kuwazia Madaraka. Kila mwanachama wa CHADEMA anayo nafasi ya kujenga chama katika level aliyoko. Tukianza kuwaza madaraka, mtavurugana kabla ya wakati.

Mpeni Mwenyekiti muda ajenge Chama Kuna Askofu kamtahadharusha kuwa "Mahaba ya kutongozea sio Mahaba ya kutunza Mke"
 
Rushwa za Lisu zimeanza
Kwenye ulaghai wa uchaguzi ili ashinde naliahidi watu kibao ugombea ubunge

Ikifika wakati wa kuteua wagombea Chadema inaenda kupasuka kutakuwa na vurugu kubwa
Acha uongo wewe....
 
huyu dada akimbilie ACT, ndio sehemu salama kwake kwa sasa
 
Back
Top Bottom