Caught kissing on camera! do I need to bribe the IT guy?

wewe acha ubishi angalia mazingira ya kubusiana, halafu ndio ubishe...oooh kumbe unaosha kinywa?
 
ni ujinga mtupu,
eti tanzania hii mwanaume utolewe milioni mbili
kwa sababu ya kum kiss mwanamke???????
Hivi vistory vyako havina kichwa wala miguu..

Mtu ameomba ushauri wewe unasema ujinga mtupu na nikiangalia hapo wewe ni 'Senior Expert member'.....Amazing!!Grow up!Sio lazima uchangie kila kitu ili kuosha kinywa tu.Be considerate!!!

The Boss ndivyo alivyo, sio kosa lake...mbona watu kama hao humu jamvini wamejaa sana tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…