J Joram kiango Member Joined Aug 25, 2013 Posts 82 Reaction score 16 Sep 13, 2013 #1 Nina maswali machache khs CHUO CHA CBE. . cbe certificate mwisho wa usajili ni lini na ukichelewa ku ji sajili ila umepata nafasi inakuaje? Pia masomo yanaanza lini? Na kati ya pesa ya stationary na field ipi usipowasilisha hupokelewi?
Nina maswali machache khs CHUO CHA CBE. . cbe certificate mwisho wa usajili ni lini na ukichelewa ku ji sajili ila umepata nafasi inakuaje? Pia masomo yanaanza lini? Na kati ya pesa ya stationary na field ipi usipowasilisha hupokelewi?