P paparazi Member Joined Jul 7, 2009 Posts 17 Reaction score 0 Mar 14, 2010 #1 colloge of business education dar es salaam campus wamefunga wireless internet sasa hivi wanamalizia matengenezo madogo madogo kukamilisha hadi sasa teyari substation zimefugwa. Lakini sijui wanachukuwa kwa host gani?
colloge of business education dar es salaam campus wamefunga wireless internet sasa hivi wanamalizia matengenezo madogo madogo kukamilisha hadi sasa teyari substation zimefugwa. Lakini sijui wanachukuwa kwa host gani?
Wun JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 358 Reaction score 72 Mar 14, 2010 #2 hongera cbe kwa kufunga wireless internet are hope wanafunzi watoa tumia kwa malengo yaliyowekwa.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Mar 14, 2010 #3 Wun said: hongera cbe kwa kufunga wireless internet are hope wanafunzi watoa tumia kwa malengo yaliyowekwa. Click to expand... Yeah! Wajiunge jf coz any time wakiwa na maswali kuhusu masomo watasaidiwa. Vilevile hapa watapata news mbalimbali ndani na nje ya tz
Wun said: hongera cbe kwa kufunga wireless internet are hope wanafunzi watoa tumia kwa malengo yaliyowekwa. Click to expand... Yeah! Wajiunge jf coz any time wakiwa na maswali kuhusu masomo watasaidiwa. Vilevile hapa watapata news mbalimbali ndani na nje ya tz