CBE SELECTION NI UTATA hivi inakuaje?

CBE SELECTION NI UTATA hivi inakuaje?

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
katika selection za first year 2012-2013 college of bussiness education dar es salaam campus wametoa majina ila cha kushangaza facult ya bachelor in procument and supply management wametoa watu 29 na wengine wamechaguliwa na TCU Huko Kwenye profile zao ila majina yao hayapo ivi inakuaje hapo asee na tarehe ya kufungua ni lini?
 
kaka i2pie hyo link yenye list ya waliochaguliwa cbe dsm coz inanihusu pia!
 
Aiseeee babaangu kwani CBE ni chuo??? Nauliza 2 wadau
 
duh kweli hata jina langu halimo aisee! wadau acheni masiala tusaidiane.
 
katika selection za first year 2012-2013 college of bussiness education dar es salaam campus wametoa majina ila cha kushangaza facult ya bachelor in procument and supply management wametoa watu 29 na wengine wamechaguliwa na TCU Huko Kwenye profile zao ila majina yao hayapo ivi inakuaje hapo asee na tarehe ya kufungua ni lini?

According to TCU hiyo ilikuwa ni initial list ya majina yaliyopelekwa chuoni..chuo kitapelekewa majina mapya soon
 
Back
Top Bottom