DOKEZO CBE wanakataza wanafunzi kufanya mitihani kisa BIMA

DOKEZO CBE wanakataza wanafunzi kufanya mitihani kisa BIMA

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Chuo cha CBE kimezuia wanafunzi kufanya mtihani wa mwisho kwa sababu hawana bima.

Hii haipo sawa kwani hawajaweka utaratibu sahihi wa kupata hizo BIMA naomba waruhusu wanafunzi tufanye mitihani

IMG-20250201-WA0029.jpg


===========================

Wanafunzi wa Chuo cha CBE tumenyimwa kufanya mtihani wa kumaliza Semester ya kwanza ya Mwaka wa Kwanza kisa hatuna Bima ya Afya.

Tulikuwa tuanze mtihani wiki ya jana, tulipewa wiki mbili mpaka wiki ya Jumatatu ijayo tuwe tumelipa ndio wajue hatma yetu kama wataturuhusu kufanya mtihani au la.
 
Back
Top Bottom