Wakuu naomba mnijuze eti kwa mchepuo wa CBG naweza kusomea medicine au udaktari wa binadamu chuo hapo baadae mungu akiweka uhai.
(NAOMBA MNIJUZE WAKUU)
Kama una uwezo ningekushauli usome pcb ndo wanasoma wana nafasi kubwa ya kusoma udaktari wa binadamu cbg unaweza soma nursing au doctor of veterinary medicine ya sua kimsingi kozi zote ni nzuri!
mkuu kwaiyo amna course nyingene ya mbadaya kwa ajil ya phisics ila wa CBG aweze kufit af pia masomo basic hapo si ni C na B au inakua vp embe tupe darasa kidogo......
Wakuu naomba mnijuze eti kwa mchepuo wa CBG naweza kusomea medicine au udaktari wa binadamu chuo hapo baadae mungu akiweka uhai.
(NAOMBA MNIJUZE WAKUU)