Tofauti ni ndogo sana na unaweza usinotice, premio yenye 1NZ Fe (1500cc) fuel consumption yake ni 1L/14KM ikiwa highway na premio yenye 1ZZ Fe (1800cc) ni 1L/14.5KM ni kama hamna tofautiNijuzeni wataalamu na wazoefu wa magari. Hvi kuna tofauti kubwa sna kati ya mtu anaendesha gari mfano premio yenye cc1500 na 1800 kwenye ulaji wa mafuta?. Mfano tukiweka mafuta liter 50 kila mmoja. Huyu jamaa wa cc 1500 anaweza kutembea umbali gani ukilinganisha na wa cc 1800?(other factors remain constant).
Tofauti ni kubwa sana? Au tuna woga tuu?
noted and thanks kakaTofauti ni ndogo sana na unaweza usinotice, premio yenye 1NZ Fe (1500cc) fuel consumption yake ni 1L/14KM ikiwa highway na premio yenye 1ZZ Fe (1800cc) ni 1L/14.5KM ni kama hamna tofauti
Mkuu umenena vyema kabisa,,kula gwala[emoji109]Tofauti ni ndogo sana na unaweza usinotice, premio yenye 1NZ Fe (1500cc) fuel consumption yake ni 1L/14KM ikiwa highway na premio yenye 1ZZ Fe (1800cc) ni 1L/14.5KM ni kama hamna tofauti
Mh! au bichwa langu mimi nazi?yaani yenye 1800 cc inakula vizuri(1L per 14.5km) kuliko yenye 1500 cc!(1L per 14km)!mbona kama viceversa?Tofauti ni ndogo sana na unaweza usinotice, premio yenye 1NZ Fe (1500cc) fuel consumption yake ni 1L/14KM ikiwa highway na premio yenye 1ZZ Fe (1800cc) ni 1L/14.5KM ni kama hamna tofauti
Tumeambiwa ni kwenye highway.Mh! au bichwa langu mimi nazi?yaani yenye 1800 cc inakula vizuri(1L per 14.5km) kuliko yenye 1500 cc!(1L per 14km)!mbona kama viceversa?
no nilikosea ya 1500cc ni 1L/14.5km na ya 1800cc ni 1L/14kmMh! au bichwa langu mimi nazi?yaani yenye 1800 cc inakula vizuri(1L per 14.5km) kuliko yenye 1500 cc!(1L per 14km)!mbona kama viceversa?
Mkuu hapo nadhani itakula zaidi kwasabu ya foleniTumeambiwa ni kwenye highway.
Mjini yenye cc1500 itakula mafuta kidogo zaidi
Nadhani kinyume chake ndio sahihi...Tofauti ni ndogo sana na unaweza usinotice, premio yenye 1NZ Fe (1500cc) fuel consumption yake ni 1L/14KM ikiwa highway na premio yenye 1ZZ Fe (1800cc) ni 1L/14.5KM ni kama hamna tofauti
Urban inakula zaidi tofauti na Highway kama umeshawahi kudrive labda kwenda arusha au mbeya au popote mbali lazima utakua unajua, mjini kuna matuta kuna foleni so fuel consumpion lazma iwe highTumeambiwa ni kwenye highway.
Mjini yenye cc1500 itakula mafuta kidogo zaidi