OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana halisi ya Uongo-zi au ki-ongo-zi, lazima uwe na vinasaba vya uongo uongo ndani yako lasivyo watu hawawezi kukuelewa, angali suala la umeme linavyopigishwa dana dana kila siku tunapewa uongo mpya, mara mitambo mibovu, mara ukame, mara maji hayatoshi, mara mafundi wanarekebisha gesi, nk kila siku wanabuni uongo mpya, full fixNdiyo hawa hawa walituahidi kipindi kile, milioni 50 kwenye kila Kijiji! Halafu baada tu ya kupata madaraka, wakatugeuka.