Ndio maana halisi ya Uongo-zi au ki-ongo-zi, lazima uwe na vinasaba vya uongo uongo ndani yako lasivyo watu hawawezi kukuelewa, angali suala la umeme linavyopigishwa dana dana kila siku tunapewa uongo mpya, mara mitambo mibovu, mara ukame, mara maji hayatoshi, mara mafundi wanarekebisha gesi, nk kila siku wanabuni uongo mpya, full fix