Yote haya kayataka Jiwe na roho yake ya korosho/mbaya, tamaa yake ya kuzitaka pesa za wanyonge wa korosho, imemletea laana kubwa na kumuondolea thamani mbele ya watu wa kanda ya pwani na kusini. Mvua hizi watu wananjaa kweli na korosho zao zinaoza magharani. #MembeRais2020
Kweli aiseee mungu na asikie kilio chetuKariakoo zimetapakaa hizi shati ni balaa ! cha kushangaza vijana wanazivaa bila hata kuogopa kutekwa !
Kamanda una niangusha sanaanaKariakoo zimetapakaa hizi shati ni balaa ! cha kushangaza vijana wanazivaa bila hata kuogopa kutekwa !
Kweli aiseee mungu na asikie kilio chetuKariakoo zimetapakaa hizi shati ni balaa ! cha kushangaza vijana wanazivaa bila hata kuogopa kutekwa !
Huyu dada aongezewe ulinzi vinginevyo ataokotwa kwenye mtaro wa maji machafu dedily!
Watafanyia wapi hali mnawaogopa hadi mikutano yao ya ndani intelligencia ufanya Kazi.Lkn intelligence hio haiwezi kamata wanaojulikanaHuu ndio upinzani tulionao Tanzania. Badala ya kutumia nguvu kubwa kuimarisha vyama vyao wanabaki na siasa za matukio
Na dhahabu. Mimi sikuhizi sisemi kavuruga nasema katikisa.Hata Kanda ya ziwa kavuruga kweli kwenye Samaki hawana hamu
Huyu dada aongezewe ulinzi vinginevyo ataokotwa kwenye mtaro wa maji machafu dedily!
Makundi yote Kanda zote kavuruga si ndani si nje,ni matumizi mabaya ya akili Na mda kurudia tena makosa hata Mungu atatulaaniNa dhahabu. Mimi sikuhizi sisemi kavuruga nasema katikisa.
Baadhi ya maeneo kasaidia sababu mambo yalikuwa yanafanyika kwa uharibifu.Makundi yote Kanda zote kavuruga si ndani si nje,ni matumizi mabaya ya akili Na mda kurudia tena makosa hata Mungu atatulaani
Baadhi ya maeneo kasaidia sababu mambo yalikuwa yanafanyika kwa uharibifu.
Mfano samaki, nadhani kilichofanyika ni sahihi au wewe hauogopi samaki wanaweza isha?
Eneo kubwa la ziwa ni letu hivyo sisi ndio tutaathirika zaidi na uharibifu wa aina yoyote ile.kumbuka ziwa tuna share na wengine vipi kule kwingine nako ?
Wewe ni Cho***Halafu sura yake KLM tupu, lkn Kanda ya Ziwa ndo mpango mzima, MZ, KG, TB, Katavi, RK, KGM mpaka sehemu ya SGD ni Magu tu!
Wasiishe awamu zilizopita waishe awamu hii?Mvuvi hana kosa maana atengenezi nyavu ,wacongo ,wazambia nk walijaza semi zikamwaga Pesa Kwa wavuvi,Leo hazipo sababu ya ushuru komozi faida yote wachukue wao vikwazo kibao
Km uko akilini mwanguNyie ndo mtasababisha waanze kumfanyia mizengwe au wasiojulikana wampende zaidi mapema
Ndio maana CCM itaongoza miaka mingi mno! Mnaletewa mtu ili ageuke topic na kusahau focus zenu alafu mwisho hana impact yoyote. Jifunzeni kujitenga na mivurugano ya CCM maana inawatoa kwenye mstari tu. Tukutane after 2020 ndio mtaelewa kama mlivyokuwa wabishi wakati EL anajiunga Chadema na sasa mmeelewa.
Nawewe unataka kunipa
Sihitaji vipumulio vya NYUMBU mie. Peleka UFIPA makaburini mateja huwa wanashughulika na hizo maneno