Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kama sio kusaka kiki za bei rahisi ni nini? Kuchukulia hatua vidagaa wa taa uwanja wa taifa ni kama mmetuona watanzania ni wajinga, mbona kuna mgao wa umeme nchi nzima na hakuna hatua zozote wanachukuliwa hao majizi wanaosimamia nishati?
Kabla ya mvua kisingizio cha kukatika umeme ilikuwa ni ukame, je sasa hivi kisingizio ni nini wakati mvua ziko za uhakika?
Kwahiyo mmetuona watanzania tuna shida sana ya kuangalia mpira, lakini hatuna uchungu na shughuli zetu za uzalishaji kusimama kwa huduma tunayolipia? Bila kutokea machafuko hawa majizi wataendelea kutoona hamnazo.