Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
CCM iligawanyika baada ya Batilda kumshinda Mrema kwa njia ya kifisadi kukawa na makudi baada ya kuona kuna watu hawa muuingi mkono akaunda kamati yake ya wajanja wajanja, kitu kingine anacho laumiwa huyu mama ni kuto wahusisha hata mabalozi wao wa nyumba kumi kumi kwenye kampeni hivyo wakasusa na kuanza kusapoti upinza kimya kimya.....Pia alikuwa anapigiwa kampeni na wahuni wa mjini. Yeye alikusanya wahuni, wala mirungi na vijana wamjini ndo wampigie kampeni. She was not serious. Alifiri alivyo mshinda Mrema basi ndo ameshakuwa mbunge. Viongozi wa CCM mkome kukremu.
Gazeti la Majira la leo limeripoti ya kuwa wiki iliyopita CCM Wilaya ya Arusha ilimweka kiti moto Dr. Batilda na kumlaumu kuwa mikakati yake ya kuligawa jimbo ndiyo iliyochangia CCM kulipoteza jimbo kwa Chadema................
Walimlaumu kwa kuutenga uongozi wa CCM wa Wilaya hiyo na kujiundia kamati yake ya kampeni kinyume na utaratibu.......................
Batilda na wenzake walioanguka walikuwa wanawadharau wananchi wakati ndiyo waliowaweka madarakani last time.
Jeikei baada ya kuona anashindwa akatumia nguvu kubakia madarakani......
Simliweka wasimamizi na walisaini form za matokeo, basi leteni hayo matokeo yenu mliyoshinda na chadema yenu (church agent), mmebaki kubwabwaja tu kama mimbwa. Mnaudhi sana tu nyie watu. kuweni wastaarabuBatilda na wenzake walioanguka walikuwa wanawadharau wananchi wakati ndiyo waliowaweka madarakani last time.
Jeikei baada ya kuona anashindwa akatumia nguvu kubakia madarakani......
Simliweka wasimamizi na walisaini form za matokeo, basi leteni hayo matokeo yenu mliyoshinda na chadema yenu (church agent), mmebaki kubwabwaja tu kama mimbwa. Mnaudhi sana tu nyie watu. kuweni wastaarabu
Simliweka wasimamizi na walisaini form za matokeo, basi leteni hayo matokeo yenu mliyoshinda na chadema yenu (church agent), mmebaki kubwabwaja tu kama mimbwa. Mnaudhi sana tu nyie watu. kuweni wastaarabu
Na JK watamuweka lini??? Maana huyu dhambi yake nadhani ni kubwa kuliko Batilda. Yeye alitumia BMW (Baba, Mama Watoto) style ambayo ni mbaya zaidi ya ile ya Batilda.
Pole Batilda, hiyo ndo A-Town uliyoingizwa nayo mkenge bila kuifahamu.
Wamekuchinjia baharini chamaa angu