Elections 2010 CCM, Atakayemwaga damu ni Mshindi au aliyeshindwa?

Elections 2010 CCM, Atakayemwaga damu ni Mshindi au aliyeshindwa?

mozze

Senior Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
185
Reaction score
28
Nadhani Shimbo na wenzake wangewakamata mara moja akina Kikwete na makada wengine kwani wameshaweka hadharani kuwa Watamwaga damu kama wananchi watachagua Chama Pinzani, Chadema.

Wanaposema msichague wapinzani kwa sababu watamwaga damu, CCM wanas maana kuwa wataingia msituni ili kurudi madarakani.

NI ukichaa kusema at mtu anayeshinda uchaguzi ndio atamwaga damu. Mi nakwambia hii kauli itawapeleka ICC akina Kikwete mana wamesema bila kuficha! Tuwaepukeni hawa!
 
Back
Top Bottom