Teh teh mimi 2015 ntakuwa spika na umri ntakuwa 85
Tuwapange watakavyokuwa kwa umri kuanzia mkubwa hadi mdogo:
1: Kingunge (92)
2: Mwinyi (90)
3: Malecela (81)
4: Makamba (80)
5: Sitta (80)
6: Msekwa (80)
7: Warioba (75)
8: Anna Abdallah (75)
9: Salim A. Salim (73)
10: Chenge (71)
11: Anne Makinda (70)
12: Shein (67)
13: Mwandosya (66)
14: Kikwete (65)
15: Lowassa (62)
Hapo average ni miaka 75.13. Tafakari.