Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Kutokana na matukio ya hivi karibuni ya wagombea wengi katika sisi m kukamatwa wakijihusisha na rushwa, hii inatuthibitishia kuwa ni kweli sisi m imejengwa juu ya msingi wa rushwa na ni tatizo kubwa kiasi kwamba tunaweza kuona likiji reflect katika maisha ya kawaida ya viongozi na wananchi.
Na kwamba kamwe si rahisi chama hiki kuondoa rushwa katika taifa hili pamoja na majisifu yote ya kikwete?
Je si wakati muafaka wa kukinyima chama hiki maana hakitaweza kamwe kuondoa ufisadi katika taifa letu?.