Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Wewe ndo uache udini kwa sababu katika kuongea kwake kote Dr. sikuwahi kusikia akizungumzia dini. Mbona hatusemi kuhusu wengine kuwa wametumwa na nani?kweli mzee. Lkn tumpe nani? Dk slaa yeye tunaambiwa katumwa na wakatoliki, sasa tukikimbia rushwa si tutakumbana na udini?
Kutokana na matukio ya hivi karibuni ya wagombea wengi katika sisi m kukamatwa wakijihusisha na rushwa, hii inatuthibitishia kuwa ni kweli sisi m imejengwa juu ya msingi wa rushwa na ni tatizo kubwa kiasi kwamba tunaweza kuona likiji reflect katika maisha ya kawaida ya viongozi na wananchi.
Na kwamba kamwe si rahisi chama hiki kuondoa rushwa katika taifa hili pamoja na majisifu yote ya kikwete?
Je si wakati muafaka wa kukinyima chama hiki maana hakitaweza kamwe kuondoa ufisadi katika taifa letu?.
Ninaliona kuwa hao mtanzania wana lao. Au wao ndiyo wale wanaochochea udini na ukabila. Lini ulisikia yeye akisema kuhusu kutumwa?nimseoma kupitia mtanzania. ningalifurahi kusikia dk slaa akinijibu humu
Suala la kumuamini, sidhani kuwa ulikuwa hujaona utofauti wake akiwa pale mjengoni kwa michango yake na hivi sasa ameamua kuimpliment kwa nafasi hiyo ya juu.tutamuamini vipi?
kweli mzee. Lkn tumpe nani? Dk slaa yeye tunaambiwa katumwa na wakatoliki, sasa tukikimbia rushwa si tutakumbana na udini?
mwenye akili kama zako aliwahi kudai Kikwete ametumwa na waislamu, lakini wakatoliki wakaumbua waislamu kuwa wao hawana akili za udini kama za kwao (waislamu) na bado wakashiriki kumchagua bila kuangalia anatoka wapi, wewe hapo UMEAMUA KUTANGAZA UDINI hakuna anayesema hivyo ila ni wewe mweneyewe akilini mwako. jifunze kuwa mwanademokrasia ni si mwanadini kwenye siasa, unadhani huyo Kikwete angekuwa amechaguliwa na waislamu wala asingekuwa raisi sasa maana angeshika nafasi ya 5 kati ya wagombea woote, wakatoloki hawana UDINI kama unavyodhanikweli mzee. Lkn tumpe nani? Dk slaa yeye tunaambiwa katumwa na wakatoliki, sasa tukikimbia rushwa si tutakumbana na udini?
wewe M.S hebu nyooka na maada inachouliza,tutamuamini vipi?
yaani maneno yako yamenifanya ni sign in ili kutoa senksi kwa maneno ya busara na ya kujenga nchi, ni matumaini yangu utaitumia busara yako hiyo kuibadili ukerewe.Malaria Sugu,
Tafadhali sana msiingie ktk akili za kitumwa. Hizi fikra za Udini ni utumwa wa mawazo na amini maneno yangu, CCM wakijaribu kutumia tiketi ya Udini watapotea kabisa kwani hata tukifuata takwimu zisizoaminika za kwamba Tanzania ina Waislaam 30+ na Wakristu 30+ na Wapagan 30.
Ifahamike tu kwamba ni rahisi zaidi kwa Wapagan kumchagua kiongozi mkristu kuliko Muislaam kwa sababu Upagan upo vijijini na wakristu ndio jirani zao huko vijijini wakati Waislaam umejikita zaidi mijini na hasa mikoa ya Pwani..Tena naweza kubisha kama Dar ina Waislaam wengi leo hii kuliko Wakristu! kwa hiyo jitahadhalini sana na matumizi ya dini ktk uchaguzi huu.