CCM Central Commitee 1988

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Wako wapi leo?

  1. Julius Kambarage Nyerere
  2. All Hassan Mwinyi
  3. Idris Abdul Wakil
  4. Joseph Sinde Warioba
  5. Salim Ahmed Salim
  6. Rashidi Kawawa
  7. Gertrude Ibengwe Mongella
  8. Abdullah Saidi Natepe
  9. Ameir Mohamed (new member and Editor of the Party newspapers Uhuru and Mzalendo)
  10. Paul Sozigwa
  11. Sebastian Chale (new member and Ruvuma CCM Regional Chairman)
  12. Hassan Nassor Moyo
  13. Mustafa Hyang’anyi
  14. Moses Nnauye
  15. Ali Mzee Ali
  16. Daudi Ngelautwa Mwakawago
  17. Andrew Shija
  18. Alfred Tandau
  19. Salim Amour
  20. Kingunge Ngombale-Kwiru
 
hiyo safu ingekuwepo mpaka leo nadhani makada tungetembea kifua mbele tukiwa hatuoni aibu kujitaja kama sisi ni makada watiifu kwa chama na kwa mh rais
 
Dunia inaenda kasi sana, zaidi ya nusu yao wameshatangulia mbele ya haki!!!!
 
Sasa hivi hadi KIROBOTO naye yumo kwenye Sekretarieti ya CHAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…