Elections 2010 CCM chama kinacholekea Kufa

Elections 2010 CCM chama kinacholekea Kufa

Ulimali

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
51
Reaction score
1
CCM ni chama kilichopoteza mwelekeo na mvuto kwa sababu ya kukumbatia ufisadi. Natoa angalizo mambo yanavyoendelea ndani ya CCM inaashiria kinaelekea ukingoni. Ubinafsi, jeuri na uzandiki ndio inachokigharimu CCM siku hiza. CCM isipoangalia inajichimbia kaburi.Imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti.Mtawafanya Watanzania mabwege kwa muda kidogo lakini wakitoka kwenye usigizi huo ni hali itakuwa mbaya sana kwa CCM.
 
Na kifilie mbali. Mwasisi Nyerere aliyejua in advance alisema sisiemu si mama yake. Sijui hawa wengine wanaong'ang'ania kama si maslahi ya udhalimu ni nini basi??????????????. Saa hizi kiko hoi vidonda kibao-mipasuko pieces!!!!!!!
 
"Bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba" - JK Nyerere
 
Back
Top Bottom