CCM Chama Pekee Cha Siasa Chenye Dira na Mwelekeo

Of course kina dira na mwelekeo.

Dira na muelekeo kukumbatia ufisadi.
 
KWA MACHACHE HAYO NAOMBA MUONGEZE MENGINE MAZURI NA PIA MABAYA KAMA YAPO.

CCM imetoa baadhi ya watu kimaisha. Wengine wametoka kutoka "watoto wa wakulima" mpaka kuwa na account za mabilioni ndani na nje ya nchi. Siyo hatua ndogo hiyo.
 
CCM imetoa baadhi ya watu kimaisha. Wengine wametoka kutoka "watoto wa wakulima" mpaka kuwa na account za mabilioni ndani na nje ya nchi. Siyo hatua ndogo hiyo.

nimekugongea senksi hapo ingawa sijakunyaka vizuri MBADO
 
Mwenye hii thread ana itikadi ya kikomunisti !atembelee deep vijijini ajionee mwenyewe hali halisi ya watanzania.
 
Asante kwa hili:

Badilisha ubadilishi wa maneno yangu kabla sijakunyea mvua ya makaa ya mawe na kutaka damu yako, kabla sijakuua na kukutundika mtini, halafu nikaifungia maiti yako booby trap za mabomu yatakayowalipua ndugu zako watakaokuja kuuchukua mwili wako.

Heshimu watu, wenzako walikuja na vitusi vya rejareja asubuhi leo wamekimbia, gari kubwa hili, usitake kuja kulaumiana hapa.

Wengine hapa rooting for CCM ni uchuro mkubwa sana.

Badilisha haraka sana kabla sijakumezelea mbali mpaka usahaulike!
 


mwaga mboga nimwage ugali:

JIKE ZIMA linajishebedua;

nitakukamua KAMASI wewe.
 
Wewe Visible,
Yule demu wako asharejea au ndio ametokomea kimoja na huyo jamaa mwenye Landcruiser?

Kwa njia hii unafanya vyema kujipunguzia stress. Unajua tena maisha ya kuachwa!
Mwehu wewe! wenzako wanajadili mambo ya msingi wewe unaongea habari za mademu? Hili siyo jukwaa lake!
 
Visible Senior Member


Join Date: Tue Dec 2009
Posts: 116
Thanks: 21
Thanked 7 Times in 7 Posts
 

you must be dreaming!!!!!!!!!!!!!!
 

Hata Makamba aliwaita wehu, sembuse wewe. Mambo ya maana umeyaona kwa kujiunga leo na kuiona post hii. Mbona kuna mengi humu yenye maana kuliko hili ulilojia humu.

Mna kazi kubwa!
 

sasa hapo unalinganisha nini na nini??

yaani yote hayo uliiyoyataja kuhusu upinzani ndio yanawika ndani ya ccm, tofauti ni hapo nilipo bold baasii!! na ndio kinachowapa wapinzani advantage over ccm, angalau wenyewe bado wachanga kuliko ccm ambako wanazeekea madarakani na viongozi magoi goi wasiokuwa na msimamo kwenye maamuzi yoyote yale, walafi wa madaraka,

hiyo sehemu uliyozungumzia wabunge..yaani hao ni typical wabunge wa ccm 100% umesahau tu kuongezea tabia yao ya kulala bungeni..
 
Maendeleo ya elimu yapi unayoongelea, kama ni haya ya 50% ya wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu kufeli sawa, na tusubiri shule za kata zitakapoanza kutoa wanafunzi wa kidato cha nne.
Hahaha! wapinzani hawana viongozi wenye uthubutu wa kutoa maamuzi magumu, tuambie ni kiongozi yupi CCM amekwisha toa maamuzi magumu, JK? PINDA au SHENI? labda utasema MSEKWA sioni mimi sioni! kwa CCM hii ya waimba taarabu kama Makamba na Sophia Simba sina cha kuipongeza!
 
kinachosikitisha sana sana ni kwamba huu mtizamo wa kukumbatia sisiemu na kuamini ndicho chama kinacholeta "amani" ndio walionao wananchi wengi kule vijijini na ambao ndio majority ya wa tz, hata kama toka wazaliwe hawajawahi kuona endeleo lolote kijijini kwao

watanzania tumelala usingizi mzito mpaka inatisha...tuna mwagiwa maji baridi, tunatandikwa fimbo lakini bado tunauchapa tu usingizi...usingizi gani huu? au ndio taifa limeshakufa??

ndio maana thread kama hizi inabidi tuzichangie tuu, who knows inawezekena kuna mtu ataamshwa usingizini ili akawashtue na wengine...πŸ™πŸ˜•πŸ˜‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…