kuna tofauti yoyote kati ya kafu na ccm?Sasa CUF nao watapata nini wakifanya hayo? tunajua CCM wamezoea fitina kama hizo.
Jana saa sita usiku kwenye baa ya Mzumbe Garden hapa Mbeya mjini,kulikuwa na kikao kati ya viongozi wa juu wa CCM Mkoa akiwamo Mwenyekiti wao na viongozi wa CUF wakipanga mkakati wa kuibwaga CHADEMA hapa,wana mpango wakumbambikia Sugu kesi ya kubaka au apewe fedha za PCCB.Chukueni tahadhari mafisadi wapo kazini.
Hayo ni maneno ya m ccm mmoja niko nae hapa!wadau mnasemaje?
Udini+Udini = CCM+CUF
Jana saa sita usiku kwenye baa ya Mzumbe Garden hapa Mbeya mjini,kulikuwa na kikao kati ya viongozi wa juu wa CCM Mkoa akiwamo Mwenyekiti wao na viongozi wa CUF wakipanga mkakati wa kuibwaga CHADEMA hapa,wana mpango wakumbambikia Sugu kesi ya kubaka au apewe fedha za PCCB.Chukueni tahadhari mafisadi wapo kazini.
Hapa ndipo unapoona jinsi mwenye pumba zake anavyokurupuka huko baa asubuhi na kuja andika habari zisizo hata na ukweli, kisa tu kajisajili JF. Ina maana CUF wapange na CCM kuiangusha Chadema halafu wao wapate nini sasa CCm ikiingia madarakani??? Acha upuuzi wako, ukiona tu kiongozi wa chama kakaa baa basi anapanga kukiangusha chama kingine!! Au nawe ulishiriki katika hicho kikao nini?
Katafute habari zenye ukweli na msingi kisha uje uziweke hapa, acha ushabiki usio na maana.
unajua mbeya baridi kali,na jamaa alikuwa ametega pale amchukue changu flani kwa jina namhuhifadhi,yule changu alivyochukuliwa na yule kiongozi wa CUF yeye ndo akaamua kupaka kiaina!