Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 25,725 Reaction score 78,589 Feb 11, 2025 #1 Kuna watu huzaliwa tu kuwa hivo, Hawa hata kama hawana Elimu ila Wana ushawishi mkubwa na wanakubalika kuanzia mwonekano, uongeaji, Matendo, ana vitu ambavyo kizazi cha sasa kinahitaji View: https://youtu.be/EnfquRVcn9s?si=gnVxsXoWNIWY88qA
Kuna watu huzaliwa tu kuwa hivo, Hawa hata kama hawana Elimu ila Wana ushawishi mkubwa na wanakubalika kuanzia mwonekano, uongeaji, Matendo, ana vitu ambavyo kizazi cha sasa kinahitaji View: https://youtu.be/EnfquRVcn9s?si=gnVxsXoWNIWY88qA
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Feb 11, 2025 #2 Wasira ameshamuwakilisha
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Feb 11, 2025 #3 Mwambie aanzishe Mwanri TV... Kwa ajili ya vichekesho.. Vijana wako mtaani..unaleta nini tena!??