CCM football club.

busha

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
1,712
Reaction score
2,577
Wakuu nimewaza nikafikiria hivi CCM wangekua na timu ya soka ingekuwaje ndani dk 90 uwanjani?

Baada ya izo dk 90 kuisha uwanjani CCM kala 4-0 matokeo yanaweza achwa ivyoivyo au yatageuzwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] CCM KIBOKO si ajabu refa angeambiwa kuwa mwisho yeye ndo atataja matokeo na akimtaja mshindi ndo huyo huyo hata kama uliona tofauti na hakuna kukata rufaa [emoji23][emoji23]
 
CCM kabisa haipo ilishakufa hii iliyobaki ni "Placenta" tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…