Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Tuelewane
- CCM ndiyo huamua inflation na siyo vinginevyo
- CCM ndiyo huzuia mzunguko wa fedha
- CCM ndiyo inayoamua wapi umeme uende na wapi usiende
- CCM ndo huamua upatikanaji wa maji na hususan kata kata ya maji
- CCM imejionesha kwenye sakata la TotoCard za NHIF
- CCM imejionesha vyema kwenye mkataba ws DP World
- CCM inawaswaga wamasai kutoka ardhi yao ya asili ili kupisha wawekezaji wa kigeni
- CCM inalinda kikosikazi cha utekaji na uuaji ndani ya polisi
- CCM ilijionesha na kulinda utoroshwaji wa rasilimali zetu wakiwemo wanyamapori
- CCM imedhibiti na kuzuia ripoti ya CAG kushughulikiwa
- n.k