Elections 2010 Ccm haikujiandaa kushindwa

Joined
Jan 16, 2007
Posts
721
Reaction score
178
Hali inayoeendelea hivi sasa kwa kuchelewesha kwa matokeo ya uchaguzi inaonyesha wazi ya kua ccm haikujiaandaa kushindwa.Kampeni zao zilikua usanii nalizikua zikienda kwa mazoea.Hawakuweza kusoma alama za nyakati.Sasa wanavuta wakati kwa kuchelewesha matokeo huku wakitafuta namna ya kujinusuru kwa kuchakachua kura.Hali ilivyo sasa kwa watanzania kwa kusubiri bila maelezo ya kuelweka ni bomu linaloweza kulipuka wakati wowote ule.Na kama hilo litatokea wakulaumiwa ni uongozi uliopo na CCM.AMANI NI BORA KULIKO MADARAKA NA UBINAFSI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…