MGOGOHALISI JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 3,294 Reaction score 4,920 Jun 17, 2024 #1 Ndiyo. CCM iliona hatari ya nchi kunyimwa misaada na wahisani ikaamua kubumba huu mfumo ili mwanaharamu apite. CCM haitaruhusu kupokwa madaraka yake kwa siku hizi za karibuni.
Ndiyo. CCM iliona hatari ya nchi kunyimwa misaada na wahisani ikaamua kubumba huu mfumo ili mwanaharamu apite. CCM haitaruhusu kupokwa madaraka yake kwa siku hizi za karibuni.