Ccm imejaa wapumbavuUtasikia makada uchwala wanaongea hadharani kuwa TEC wanaifadhili CHADEMA tena bila hata aibu huku wakijua upuuzi wanaousema hauwezi kukubalika na mtu yoyote.
Mtu mpuuzi analipwa pesa na kufanya press conference kuwa Heche na Lissu wanateka watu bila kutumia akili. Upuuzi kama huu nani atauamini?
Upuuzi na upumbavu kama huu ndio sababu kubwa ya CCM kuchukiwa na wananchi. Watu wanatekwa na kupotea alafu mtu anayetumia makalio kufikiri anasimama hadharani kuongea upuuzi.
Utasikia makada uchwala wanaongea hadharani kuwa TEC wanaifadhili CHADEMA tena bila hata aibu huku wakijua upuuzi wanaousema hauwezi kukubalika na mtu yoyote.
Mtu mpuuzi analipwa pesa na kufanya press conference kuwa Heche na Lissu wanateka watu bila kutumia akili. Upuuzi kama huu nani atauamini?
Upuuzi na upumbavu kama huu ndio sababu kubwa ya CCM kuchukiwa na wananchi. Watu wanatekwa na kupotea alafu mtu anayetumia makalio kufikiri anasimama hadharani kuongea upuuzi.
Wamesinzia Usingizi wanadha i chadema ya kina KatambiUtasikia makada uchwala wanaongea hadharani kuwa TEC wanaifadhili CHADEMA tena bila hata aibu huku wakijua upuuzi wanaousema hauwezi kukubalika na mtu yoyote.