ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mimi ni CHADEMA, lakini uchaguzi wa leo umenipa funzo kubwa.
CCM wana mbinu nyingi za kushinda uchaguzi, na kwa upande wa upinzani, inaonekana tuko usingizini. Hawa CCM wako tayari hata mtu afe ili wao washinde. Wana mbinu nyingi mno!
Kimsingi, ni haki ya Watanganyika kupuuza uchaguzi, kwa sababu ni kama kutimiza ratiba tu. Kwa hali ilivyo, Watanganyika ni heri tuungane na CCM ili itutawale moja kwa moja. Tukisubiri kura itupe utawala, tutakuwa tunaota tu.
Mimi ni mwana CCM baridi.