Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi,
Huko CCM mambo yamekuwa mambo nahodha haheshimiki tena kila mmoja na lwake.Wote wanataka nafasi ya nahodha wanasema muda wake umeshapita keshakula vya kutosha atuachie na sisi tujinafasi kwa wakati wetu.
Wazee wanateseka kuweka mambo sawa,muda si rafiki tena mambo yanaenda shabalabagala.
Wanazi wa Kanda pendwa wanalalama hawakufaidi vizuri matunda ya kijana wao,wanadai walitamba kwa miaka sita bado miaka minne.
Ngongo kwasasa Kisiwandui.