CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

Hakuna uchaguzi wala msajili huwezi kumuona anga hizo
Chama kubwa watu matumbo yanasokota mda huu maana jina litarudi? swali hili mpaka watu wengine wakiwaza kidogo wanaishia kunywa pombe tu. mpaka inafika hatua ya kumwita mtu yesu ni hatari sana. ngoja wafundishwe jambo jipya.
 
chama kubwa watu matumbo yanasokota mda huu maana jina litarudi? swali hili mpaka watu wengine wakiwaza kidogo wanaishia kunywa pombe tu. mpaka inafika hatua ya kumwita mtu yesu ni hatari sana. ngoja wafundishwe jambo jipya
Wajinga sn
 
wana CCM wanalilia matumboni mwao hawana pa kusemea.. walau Bernard kavunja ukimya.
 
Kauli za Mh. Rais zilikuwa zinamlenga Jecha na ndio maana akasisitiza watu waridhike na nafasi walizonazo. Mifano aliyotoa ya IGP na CDF ilikuwa na maana kubwa sana. Angalia tu mtafaruku uliotokea machoni mwa watu baada ya Jecha kuchukua fomu, halafu leo ukute IGP au CDF anaenda kuchukua fomu, je italeta picha gani katika jamii. Sometimes msiwe watu wa kulaumu kila kauli.
 
Demokrasia ndo kiini Cha umaskini sababu ziko wazi kabisa Kuna wakati tukisema tutumie uchaguzi tu kumpata mtu atakae tuongoza tutakwama kwa sababu wataochaguliwa wanaweza kuwa sio watu sahihi Ila ni hitaji la wengi kwaio kwa kuliona ilo kura za maoni zinaweza kukupa nafasi ya Kwanza lakini tathimini ya kina ikifanyika ukaonekana sio mtu sahihi utatolewa atawekwa mtu sahihi kwa MASLAHI mapana ya taifa letu. JPM 2020-2025
 
huna akili ww, umesahau kuwa huu ndo uchaguz wake wa kwanza kwa wabunge akiwa mwenyekiti, ile aliongelea utaratibu uliopo ndan ya chama kwa chaguzi zilizopita.. kuongoza kwa kura hakukufanyi uwe mbunge.
 
Nilishawahi kuwaambia wana CCM wenzangu huyu mtu sio dikteta ila ana matatizo makubwa ya AKILI. Wakanibishia sana.

Haya sasa mambo yanakwenda ku-BACK FIRE!
 
CHADEMA wameufayata baada ya 'mwamba tuvushe ' kuchukua fomu. Zile kelele za Lissu for President kwishney. Hakuna kuchekana
 

Kwa statement yake akina Nape wajiandae kisaikolojia . Nawaona wengi watapita kwa hisani ya mkulu sio kwa chaguo la wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…