CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

Mkuu hebu subiri kwanza kidogo nimtafakari huyu mzee anaetaka kujaribu bahati yake kule alikopelekaga mboga!View attachment 1486066
Watu wakiambiwa tume ya uchaguzi sio huru utasikia ni huru kwa sababu Rais anateua mwenyekiti kwa mujibu wa sheria. Sasa mtu kama Jecha tulitegemea awe neutral wakati anakadi ya ccm mfukoni
 
Kauli mbofu mbofu
 
Kumbe ni CCM ya Magu apo sawa ...maana Nilijua kua ni CCM ya wanaccm.
Tuendelee kusoma ili tuwe wajinga zaidi
 
Muda ukifika tutajua,kwa nini mmetoa fomu moja?wabakaji wa demokrasia CCM
 
CCM mpya inakuja. Baada ya Novemba CCM asilia byebye!
 
Km ameshinda kwa udanganyifu sioni tatizo

Wewe kiazi, zingatia “inategemea nitakavoamka”. Hakusema hilo unalomwekea mdomoni. Udanganyifu utashighulikiwa kama udanganyifu na sio namna ya Mwenyekiti alivoamua.
 
Kumbe ni CCM ya Magu apo sawa ...maana Nilijua kua ni CCM ya wanaccm.
Tuendelee kusoma ili tuwe wajinga zaidi
Ungekuwa umesoma mambo ya leadership ungeelewa ni namna gani kiongozi ana influence direction ya taasisi katika muda wake.
 
Nimekumbuka...."uongozi wa vyombo vya dola".
 
Yaani huwezi amini hawa wote ni kama mizigo tuu ndani ya chama cha mapinduzi.
Wanahaja gani kujiita wajumbe wa Central Committee lakini maamuzi "inategemea siku hiyo nimeamkaje"
Wapo kikaoni kazi kujichekesha chekesha kwenye nyimbo za kumsifu "yesu wa ccm".
Hii ni aibu kujiita mwanaccm kwa mtu yeyote anaye jiamini

 
Ndio tunaona udikteta Tz hii sasa.
 
Huyo mtu anayechagua watu sahihi mbona amekuwa akiwafukuza hao watu sahihi
 
Walim Shangilia alipokuwa an a was high bulimia wapinzani, sasa ni zamu yao na bado. Wasubiri ashinde/atangazwe 2020 ndiyo watafahamu uzuri wa siri ya kumsukumizia MTU huko.
 
CC: Bia yetu ; Magonjwa Mtambuka
 
Muda ukifika tutajua,kwa nini mmetoa fomu moja?wabakaji wa demokrasia CCM

Unafikili kuna mtu atakuja kuiwajibisha CCM?
Msaada pekee alionao Membe ama astaafu siasa au aende Chadema ili apambane na magufuli,

Zaidi ya hapo hakuna mtu atamsaidia iwe nje ya nchi au ndani ya nchi.
Ukiwa na akili utaelewa, kwa kuwa haya yanatokea dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…