ZE REALFIGHTER
Member
- Feb 19, 2013
- 73
- 12
Ni wazi kabisa ccm imejipanga kuvuruga mchakato wa katiba mpya kwa kulazimisha maoni ya CCM ndio maoni ya watanzania wote.Naomba CCM itambue iko siku moja wataondoka madarakani kwa hiyo iache kutanguliza maslahi ya chama mbele badala taifa ,
Huko ni kuwasaliti wà tanzania.Dhambi wanayotaka kuifanya CCM haita waacha hivihivi na uhakika itawatafuna kizazi nakizazi.Naomba Mungu awalaani CCM kwa njama zao mbaya za kuchakachua maoni ya wananchi katika mchakato wakupata Katiba Mpya.
AMEN!