ZE REALFIGHTER
Member
- Feb 19, 2013
- 73
- 12
Ni wazi kabisa ccm imejipanga kuvuruga mchakato wa katiba mpya kwa kulazimisha maoni ya CCM ndio maoni ya watanzania wote.Naomba CCM itambue iko siku moja wataondoka madarakani kwa hiyo iache kutanguliza maslahi ya chama mbele badala taifa ,huko ni kuwasaliti wà tanzania.Dhambi wanayotaka kuifanya CCM haita waacha hivihivi na uhakika itawatafuna kizazi nakizazi.Naomba Mungu awalaani CCM kwa njama zao mbaya za kuchakachua maoni ya wananchi katika mchakato wakupata Katiba Mpya.AMEN!
na nyie watanzania mmelala sana,kwani kuwatoa hao watu wachache wanaotaka kuvuruga nchi nzima tunashindwa?mpo tayari au mnapenda tu kulaumu?
....jamani wa tz vipi!,mnatengeneza katiba ya nchi...mliunda tume ya kukusanya maoni iliyokuwa na wataalamu mbali mbali,wakasafiri kila kona ya ardhi hii,wa tz wakatoa maoni yao...so hayo ya kwenu mnayokuja nayo mmeyatoa wapi?...jukumu la bunge la katiba si kubadilisha maudhui ya katiba bali ni kuboresha tu...so hatutaki kusiki ohoooo serikali 2, ohoooo serikali 1...tayari rasimu inasema serikali 3 so wao wajikite kuboresha hoja ya serikali 3 na si vinginevyo...jamani wajumbe mnanielewa kazi yenu ni kuboresha....na itakuwa vizuri mkiifanya kwa muda mchache ili taifa isitumie hela nyingi.

Tunataka Katiba Mpya itakayo tanguliza utu wa taifa letu mbele na sio maslahi ya Mabeberu wa nje na ndani ya Tanzania.Haki ya Mungu naapa CCM Mkifanikiwa kuchakachua Katiba mpya mjue Mungu atawalaani nyinyi na vizazi vyenu vyote,nilazima kama mnataka usalama mfuate maoni ya wananchi wengi.
Hapo sasa, wanasema wasilolijua mkuu.Sasa CCM Itavurugaje mchakato iliouanzisha yenyewe?
....jamani wa tz vipi!,mnatengeneza katiba ya nchi...mliunda tume ya kukusanya maoni iliyokuwa na wataalamu mbali mbali,wakasafiri kila kona ya ardhi hii,wa tz wakatoa maoni yao...so hayo ya kwenu mnayokuja nayo mmeyatoa wapi?...jukumu la bunge la katiba si kubadilisha maudhui ya katiba bali ni kuboresha tu...so hatutaki kusiki ohoooo serikali 2, ohoooo serikali 1...tayari rasimu inasema serikali 3 so wao wajikite kuboresha hoja ya serikali 3 na si vinginevyo...jamani wajumbe mnanielewa kazi yenu ni kuboresha....na itakuwa vizuri mkiifanya kwa muda mchache ili taifa isitumie hela nyingi.
Ni wazi kabisa ccm imejipanga kuvuruga mchakato wa katiba mpya kwa kulazimisha maoni ya CCM ndio maoni ya watanzania wote.Naomba CCM itambue iko siku moja wataondoka madarakani kwa hiyo iache kutanguliza maslahi ya chama mbele badala taifa ,
Huko ni kuwasaliti wà tanzania.Dhambi wanayotaka kuifanya CCM haita waacha hivihivi na uhakika itawatafuna kizazi nakizazi.Naomba Mungu awalaani CCM kwa njama zao mbaya za kuchakachua maoni ya wananchi katika mchakato wakupata Katiba Mpya.
AMEN!
Sasa CCM Itavurugaje mchakato iliouanzisha yenyewe?