Ccm hamuwezi kukwepa lawama.

Ccm hamuwezi kukwepa lawama.

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
2,602
Reaction score
408
"Awali ya yote napenda kuwatakia sikukuu njema ya Eid mubarak"
Salamu kwenu wanajamvi!!
Poleni na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha mkono unaingia kinywani.
Najua tunapitia wakati mgumu sana kuhakikisha mkono unaingia kinywani,ugumu huu wa maisha unasababishwa na mfumo wa chama chetu cha CCM.CCM kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 ndicho chama pekee kimekaa madarakani kwa muda mrefu.Hivyo hali ya maisha tuliyo nayo hatuna budi kuilaumu serikali ya CCM katika kujenga mfumo wa uchumi tegemezi na kuleta pengo kubwa kwa walionacho na wasionacho(Income gap).Ukiangalia maisha ya watanzania walio wengi yanasikitisha na kutia huruma.Watu mpaka umri huu wa kipindi cha miaka 50 ya uhuru kuna watu wanaishi mlo mmoja. Lakini haya yote lawama zote tunaipa CCM na viongozi wake na sio wengine.CCM imefanya haya katika utawala wake.
1.Imeua viwanda vya nguo kama vile Sunguratex,mwatex,urafiki nk,sabuni na viwanda vingine kwa sera ya ubinafsishaji. Sasa nawashangaa CCM wanaposema tumeendelea,badala ya kuongeza viwanda tunaua viwanda,je,wewe kama mtanzania kwa kutumia akili ya kawaida haya ndio maendeleo?
2.Deni la taifa kukua kwa kasi.Deni la taifa limekuwa hadi kufikia Trilioni zaidi ya 22,ambapo kwa mujibu wa takwimu ya sensa ya 2012 kila mtanzania anadaiwa zaidi ya 450000,je haya ndio maendeleo?
3.kushuka kwa mchango wa kilimo katika pato la Taifa.Hii inatokana na kilimo kutopewa kipaumbele kama sekta mama inayoajiri watu wengi.Tumekuwa na sera za Kilimo ni uti wa mgongo,Kilimo ni siasa,Kilimo ni uhai,kilimo kwanza na sasa matokeo makubwa sasa(Big Results Now).Mimi naona hii ni danganya toto na imekuwa sera tu za ccm kuombea kura kwa wananchi.Hivi jiulize ile kauli mbiu ya MAISHA BORA KWA KLIA MTANZANIA ILIISHIA WAPI? Wengi tunakumbuka ilikuja kwa kasi sana wakati wa uchaguzi mkuu 2010,leo hii iko wapi? Ccm wameacha hata kuisema majukwani.Ccm ndio chanzo cha umaskini wa Tz.
4.Kila mwaka kiwango cha elimu kinashuka.Tatizo ni mfumo wa ccm waliojijengea usioendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia duniani.Pia ccm huwa hawataki ushauri.Ukishauri basi kwao unapinga.
5.ufisadi,Rushwa,ujangili,mauaji na biashara ya madawa ya kulevya.Katika haya yote ccm na viongozi wake ndio watuhumiwa wakubwa,hali inayopelekea serikali kushindwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wahusika.Nani hajui kuwa mwangosi aliuwawa na polisi? Nani hajui kuwa aliyemteka Dr.Ulimboka anatoka ikulu ya Kikwete? Nani hajui kuwa Richmond ilikuwa kampuni hewa ikilipwa mamilion ya pesa kwa siku sainiwa na Lowasa chini ya kikwete?Nani hajui wizi wa pesa za EPA ulikuwa chini ya Daud Balali,uliopelekea utata wa kifo chake,yaani kifo cha kusingiziwa? Nani hajui kuwa waziri mkuu Pinda karuhusu watu wapigwe na polisi? Nani asiyejua utoroshaji wa pesa nje au ukwepaji wa kodi kwa kisingizio cha uwekezaji?
Ndugu zanguni,ugumu wa maisha chanzo chake ni ccm,wao wanajilimbikizia mali wananchi tukizidi kunyonywa kwa kutozwa kodi kubwa ya mishahara,simcard,nk.Huku wao wakilipwa posho,wakilipiwa kodi ya umeme,wakiwekewa vocha,wakijaziwa mafuta kwenye magari yao,wakilipwa posho ya chai,chakula cha mchana,watoto wao wakilindwa na kulipwa mishahara bila kazi yoyote nk.Huu ni unyonyaji wa hali ya juu,na hii haikubaliki.
 
"awali ya yote napenda kuwatakia sikukuu njema ya eid mubarak"
salamu kwenu wanajamvi!!
Poleni na majukumu ya kila siku katika kuhakikisha mkono unaingia kinywani.
Najua tunapitia wakati mgumu sana kuhakikisha mkono unaingia kinywani,ugumu huu wa maisha unasababishwa na mfumo wa chama chetu cha ccm.ccm kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 ndicho chama pekee kimekaa madarakani kwa muda mrefu.hivyo hali ya maisha tuliyo nayo hatuna budi kuilaumu serikali ya ccm katika kujenga mfumo wa uchumi tegemezi na kuleta pengo kubwa kwa walionacho na wasionacho(income gap).ukiangalia maisha ya watanzania walio wengi yanasikitisha na kutia huruma.watu mpaka umri huu wa kipindi cha miaka 50 ya uhuru kuna watu wanaishi mlo mmoja. Lakini haya yote lawama zote tunaipa ccm na viongozi wake na sio wengine.ccm imefanya haya katika utawala wake.
1.imeua viwanda vya nguo kama vile sunguratex,mwatex,urafiki nk,sabuni na viwanda vingine kwa sera ya ubinafsishaji. Sasa nawashangaa ccm wanaposema tumeendelea,badala ya kuongeza viwanda tunaua viwanda,je,wewe kama mtanzania kwa kutumia akili ya kawaida haya ndio maendeleo?
2.deni la taifa kukua kwa kasi.deni la taifa limekuwa hadi kufikia trilioni zaidi ya 22,ambapo kwa mujibu wa takwimu ya sensa ya 2012 kila mtanzania anadaiwa zaidi ya 450000,je haya ndio maendeleo?
3.kushuka kwa mchango wa kilimo katika pato la taifa.hii inatokana na kilimo kutopewa kipaumbele kama sekta mama inayoajiri watu wengi.tumekuwa na sera za kilimo ni uti wa mgongo,kilimo ni siasa,kilimo ni uhai,kilimo kwanza na sasa matokeo makubwa sasa(big results now).mimi naona hii ni danganya toto na imekuwa sera tu za ccm kuombea kura kwa wananchi.hivi jiulize ile kauli mbiu ya maisha bora kwa klia mtanzania iliishia wapi? Wengi tunakumbuka ilikuja kwa kasi sana wakati wa uchaguzi mkuu 2010,leo hii iko wapi? Ccm wameacha hata kuisema majukwani.ccm ndio chanzo cha umaskini wa tz.
4.kila mwaka kiwango cha elimu kinashuka.tatizo ni mfumo wa ccm waliojijengea usioendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia duniani.pia ccm huwa hawataki ushauri.ukishauri basi kwao unapinga.
5.ufisadi,rushwa,ujangili,mauaji na biashara ya madawa ya kulevya.katika haya yote ccm na viongozi wake ndio watuhumiwa wakubwa,hali inayopelekea serikali kushindwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wahusika.nani hajui kuwa mwangosi aliuwawa na polisi? Nani hajui kuwa aliyemteka dr.ulimboka anatoka ikulu ya kikwete? Nani hajui kuwa richmond ilikuwa kampuni hewa ikilipwa mamilion ya pesa kwa siku sainiwa na lowasa chini ya kikwete?nani hajui wizi wa pesa za epa ulikuwa chini ya daud balali,uliopelekea utata wa kifo chake,yaani kifo cha kusingiziwa? Nani hajui kuwa waziri mkuu pinda karuhusu watu wapigwe na polisi? Nani asiyejua utoroshaji wa pesa nje au ukwepaji wa kodi kwa kisingizio cha uwekezaji?
Ndugu zanguni,ugumu wa maisha chanzo chake ni ccm,wao wanajilimbikizia mali wananchi tukizidi kunyonywa kwa kutozwa kodi kubwa ya mishahara,simcard,nk.huku wao wakilipwa posho,wakilipiwa kodi ya umeme,wakiwekewa vocha,wakijaziwa mafuta kwenye magari yao,wakilipwa posho ya chai,chakula cha mchana,watoto wao wakilindwa na kulipwa mishahara bila kazi yoyote nk.huu ni unyonyaji wa hali ya juu,na hii haikubaliki.

watanzania ni waoga, pia tumesahau mambo ya msingi kama kuhamasisha daftari la wapiga kura liboreshwe yaani vijana wengi wajiandikishe ufikapo muda wa kujiandikisha, pia kwenye rasimu ya katiba mpya tumekazana na serikali 2 na 3, tumesahau tume huru ya uchaguzi,vinginevyo tutalalamika milele, huu ni mwanzo tu wa maisha magumu. Udom, udsm, sua, duce, muce, na vyuo vingine tz kila mwaka wanatoa wahitimu(containers), lakin watu wamezagaa kitaa ajira hakuna wanatembea na bahasha daily, lakin sjasikia kwenye rasimu ya katiba watu wakilizungumzia suala la ajira, bali watu wamemeza verses walizopewa na akina nape nnauye kuhusu serikaili 2. .mimi tayari nipo kazini ila nawaonea huruma wahitimu wenzangu jinsi wanavyotaabika na ajira. Poleni wa tz wenzangu
 
watanzania ni waoga, pia tumesahau mambo ya msingi kama kuhamasisha daftari la wapiga kura liboreshwe yaani vijana wengi wajiandikishe ufikapo muda wa kujiandikisha, pia kwenye rasimu ya katiba mpya tumekazana na serikali 2 na 3, tumesahau tume huru ya uchaguzi,vinginevyo tutalalamika milele, huu ni mwanzo tu wa maisha magumu. Udom, udsm, sua, duce, muce, na vyuo vingine tz kila mwaka wanatoa wahitimu(containers), lakin watu wamezagaa kitaa ajira hakuna wanatembea na bahasha daily, lakin sjasikia kwenye rasimu ya katiba watu wakilizungumzia suala la ajira, bali watu wamemeza verses walizopewa na akina nape nnauye kuhusu serikaili 2. .mimi tayari nipo kazini ila nawaonea huruma wahitimu wenzangu jinsi wanavyotaabika na ajira. Poleni wa tz wenzangu
GEM
 
Back
Top Bottom