kuna nchi inaongoza kwa kufungia mitandao kama marekani, from as simple as financial websites kama binance mpaka website za whistle blowing! kufungia ni vitu vya kawaida ndugu mhalifuMarekani hawafungii mitandao hovyo lazima wawe na sababu muhimu sio kufungia ili waue raia wake.
Kwa China sielewi maana wao ni role model wetu na udikteta tumejifunzia kwao.
Wewe pia unatumia VPN kuingia JF?hujajibu swali, kufungia mitandao kitu cha kawaida hata marekani na china wanafungia mitandao sana
una uhakika gan natumia vpnWewe pia unatumia VPN kuingia JF?
JF bongo haipatikani bila ya kuwa na VPN.una uhakika gan natumia vpn
sasa ujiulize, maaana mpaka tiktok imefunguliwa jf badoJF bongo haipatikani bila ya kuwa na VPN.
Unatumia VPN kuingia JF?sasa ujiulize, maaana mpaka tiktok imefunguliwa jf bado
Kazi ya VPN nini?Unashindwaje kuwa mtiifu kwa maamuzi yanayofanywa na chama chako?
Wana CCM mlipaswa msitumie kabisa VPN ili kuonesha kuwa kinachofanywa na Serikali yenu ni sahihi!
NAAMINI HII NI FURSA KWA VIJANA WETU WA ICT KUJA NA MBADALA WA MITANDAO YA KIJAMII YENYE MAUDHUI YA KITANZANIA.Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.
China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.
Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.
CCM ijue kuwa haiwezi kushindana kwenye zama hizi za teknolojia janja (Smart technology) kwa kutumia mifumo ya analojia kama vile kuteka au kukamata watu wanaoikosoa mitandaoni.
Jifunzeni imekuwaje No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.
Maudhui ya kitanzania ndiyo yepi hayo?NAAMINI HII NI FURSA KWA VIJANA WETU WA ICT KUJA NA MBADALA WA MITANDAO YA KIJAMII YENYE MAUDHUI YA KITANZANIA.