GreaTthinkErs
NASEMA HATA IWEJE 2015 CCM HAMPATI KURA YANGU:target:
- Kwa jinsi suala hili la umeme linavyonikera licha ya kuwa na maporomoko mengi ya maji.
- Kwa jinsi mafisadi wanavyowabembeleza na kufunga vibaka
- kwa wanavyopeana vyeo utadhani nchi hii ni ya uchifu
- Kwa jinsi Ukanda unavyoutesa moyo wangu kwa kupendelea pwani na Bagamoyo
- Kwa jinsi ninavyokatwa PAYE na pesa kutumika kulipa posho wakuu wa wilaya badala ya kujenga zahanati
Afadhali wewe,hata mimi sikuwapa!Kumbe uliwapa!!! mie sijawahi kuwapa mwaya!!!
You, the minority won't give them, but the majority will! And so? They will continue ruling YOU! Yes, you better die to escape CCM rule!they will get mine when I'm dead!
Unless they do major overhaul and learn their mistakes!
Hata msipopiga they will reign forever, this time hawakushinda, wakajishindisha. CCM wanaona kama vile TZ ni mali yao na hamna wa kuwashinda. Can anybody suggest the solutions to these Magugu sugu.
What is majority? Is it not many minority coming together?You, the minority won't give them, but the majority will! And so? They will continue ruling YOU! Yes, you better die to escape CCM rule!