Nilipingana sana na watu majuzi ishu ya CHADEMA, na nikasema the same thing.
Vyama vya siasa viwe free erros/mistake zone, wajenge strong convicing power kwa wapiga kura.
Kusema CHADEMA haina ukabila, CUF haina udini, na kubishana humu havisaidii,kwenye politic jeng mazingira yatakayoondoa swali la kwanini?
hii itawafanya maadui wakose cha kusema, maana kuwapata wapiga kura SI MCHEZO! weka ng'ombe au nini CCM wanapita, upinzani inabidi uzidi juu zaidi ya ujinga wa wananchi walio wengi, hapo ndio kazi ilipo, kinyume chake ni kuishia kula ruzuku na kusubiri kufa!